YANGA SC: HABARI MPYA LEO JUMATANO YA MAY 02-2018
Leo Jumatano ya May 02-2018, uongozi wa klabu ya Yanga umetoa taarifa ya mkutano utakaofanyika kesho Alhamisi ya May 03-2018
Mkutano huo na waandishi wa habari utafanyika Makao Makuu ya klabu ya hiyo jijini Dar es salaam, kuanzia saa 12:30 mchana.
No comments:
Post a Comment