BINTI MREMBO 1 - ALEX MWENDATZ

Breaking

Monday, March 19, 2018

BINTI MREMBO 1

Image result for BINTI MREMBO
PLAY GIRL SEHEMU YA 1
Mtunzi: Andrew CARLLOS
"...Jamani mi sijui utaratibu wa
hapa., naomba mnirudishie tu
huo mkoba wangu.."
Nikiwa bado naendelea
kulalamika pale uwanja wa
ndege, mara akatokea mkaka
mmoja mweupe aliyevalia sare za
hawa wafanyakazi wa ndege..
"..embu niambie tatizo nini dada
mbona unalalamika.."
"..Leo ndio mara yangu ya
kwanza kupanda ndege na wakati
natoka Mwanza hawakunizuia
hivi, lakini nashangaa nimefika
hapa Dar eti wamezuia mkoba
wangu wanadai kuwa
hawaruhusu kusafiri na vipodozi
kwenye ndege.. Ni haki kweli
jamani..?"
"..dada unaitwa nani..?"
"..enh, Tina.., sio hapa tu
'Precision Air' hata mashirika
mengine ya ndege huwa
hawaruhusu.."
"..ok, lakini ndio nimeshafika Dar
sasa utanisaidiaje..?"
"..subiri kwanza hapo hapo
nakuja.."
Aliondoka akaingia kwenye ofisi
zao na baada ya muda akarudi..
"..Unaruhusiwa kwenda.."
"..oh thanks., na vitu vyangu..?"
"..we nenda navyo tu
nimeshaongea na mabosi.."
Nikachukuwa mikoba yangu
nakuondoka zangu ile natoka
hatua tatu tu, "..Tina.? Tina..?"
yule mkaka akaniita..
"..Nimesahau kitu.."
Moyo ukaniripuka tena huku
nikibaki sijielewi elewi..
"..umesahau kitu gani tena
kwangu..?"
Akaingiza mkono wake mfukoni
nakutoa kikaratasi kisha akanipa..
"..Business Card yangu hiyo..,
naitwa Jerry.."
Nilichukuwa nakuonesha
tabasamu huku 'dimpozi' zangu
nikizilazimisha,
"..Hanijui kama chuo wananiita
Tina zoa zoa enh"
Nilijisemea kimoyo moyo huku
nikijiondokea mpaka hostel zetu
za chuo pale 'chuo cha biashara'
CBE'..
****
Usiku wote sikulala kwa raha
kwani nilikuwa namfikiria Jerry tu
jinsi alivyonisaidia pale uwanja wa
ndege, nilijikuta hata asubuhi
ilipofika sikuingia darasani zaidi ya
kujilalia tu kitandani huku
nikichukuwa simu yangu
nakutuma meseji kwa Jerry..
'..morning Jerry..'
Haikuchukuwa muda akapiga
simu..
"..hallow.."
"..yap mambo Jerry..?"
"..pouwa, naongea na nani..?"
"..otea, sauti ya nani hii..?"
Nilimtega kwa makusudi ili nijue
kama ni kicheche..
"..mmhh.. Sijui bwana niambie
tu.."
"..aukey naitwa Tina.."
"..Tina.. Tina.. Tina yule wa jana
aliozuiliwa mkoba wa vipodozi..?"
"..Exactly..(sawa kabisa)"
"..Jerry..?"
Niliita kisha nikakaa kimya huku
nisijue ntamwanzaje kwani
kiukweli nilishamtamani toka jana
na nilazima aujue mwili wangu na
hivi handsome tena mweupe...
"..mmh ningependa kujua una.."
Kabla sijamalizia kumwambia
akaniwahi..
"..Tina..? Sorry kunakazi imetokea
hapa fasta nitakupigia baada ya
muda.."
Akakata simu..
"..hapa leo leo lazima kieleweke
na hivi toka nimetoka mwanza sija
sex na mwanaume..? Huu
mshawasha wote lazima aumalize
Jerry.."
Nilijisemea kimoyo moyo huku
nikiingia sehemu yakuandikia
meseji nakutaka kutuma meseji
lakini kabla sijatuma Jerry akawa
ananipigia..
"..tayari, haya ulikuwa
unasema..?"
"..Natafuta kazi, ninaweza kupata
hapo..?"
"..kazi.? Kazi gani unataka.."
"..i mean' nahitaji niwe
mfanyakazi wako wa ndani
'housegal' na chochote utakacho
nitatekeleza., au umeshaoa..?"
"..Tina.? Kumbe unavituko
hivyo..? Mi sijaoa.."
Nikajikaza nakumtamkia huku
mshipa wa aibu nikiuweka
pembeni Tina mie..
"...ok, nimekumis japo nikuone
ukitoka ofisini.. Kwani unaish
wapi..?"
Akanikatia simu..
"..shiit.., bado nitampata tu tena
leo leo lazima nimnyonye nanii
yake mpaka nichoke.. Na
ntakavyomkatikia hadi atajuta
mbona..."
Niliendelea kujipa moyo huku
nikiongea peke yangu nakuinuka
pale kitandani kisha nikabadili
nguo....
Nilijitesa vya kutosha lakini bado sikuridhika, nikampigia tena simu,
"..hallow..!"
"..yap Tina, nimebanwa tena hapa nashindwa hata kuongea huku nafanyakazi, lakini usihofu nitakupigia baada ya muda.."
"..hapana mie sitaki bwana, kwanza niambie tutaonana leo..?"
Nikaanza kumdekea kana kwamba ndo ameshakuwa mpenzi wangu..
"..Leo nitawahi kutoka ofisini hivyo ondoa wasiwasi kabisa lazima tutaona.."
"...ok, kazi njema basi.."
"..pouwa baadaye.."
Niliinuka nakuelekea bafuni kwenda kujisafisha vizuri na nilivyorudi nikawakuta wenzangu tayari wameshatoka madarasani na kwa muda huu walikuwa wakikishangaa kikadi nilichopewa na Jerry..
"..Tina we nomaa, naona mambo yako makubwa shosti.."
Ilikuwa ni sauti ya Aisha rafiki yangu wa karibu,
"..mh nawewe aisha kwa kuchunguza mambo..?"
"..kwahiyo toka umetoka huko Mwanza tumeanza kufichana siyo..?"
"...Kipi cha kukuficha jamani huyo ni rafi.."
Kabla sijamalizia kumwambia Aisha mara simu yangu ikaita, haraka haraka nikaangalia jina ni Jerry..
"..yap, niambie Jerry..."
"..mi ndio natoka ofisini nipo na gari tuonane wapi..?"
Nikakaa kimya kama dakika 1 kisha nikamjibu..
"...njoo hadi chuoni hapa Cbe ukifika maeneo ya hapa nipigie.."
Nilikuwa namuelekeza huku muda wote huo Aisha alikuwa akinishangaa,
"..Shosti naweza kwenda na mimi..?"
Aisha aliuliza nakunifanya nimuangalie kwa jicho la dharau, kisha nikampa dongo kama kawaida yetu yakutaniana..
"..nawewe..? Nawewe ukakatikie au ukanishikie nanii yake.."
Ndani ya dakika kama 40 tayari mlio wa simu yangu ulikuwa ukiita kuashiria kuwa Jerry keshafika maeneo ya chuo, nikaipokea ile simu...
"...hallow Jerry.."
"..sorry sana.."
"...Nimepigiwa simu,nahitajika kwa shangazi kunamatatizo yametokea.."
"..unasemaje..?"
"..wala usihofu hakijaharibika kitu, kwani suala la kuonana bado lipo pale pale.."
Niliona kama ananizingua, nikamkatia simu, hasira kali ilinishika huku nikiishiwa na pozi.
Nikarudi zangu mpaka rum kwangu nakuzivua zile nguo kisha nikajitupia kitandani,
"...siyo mbaya, anabahati..? Yani leo? Mbona angeisoma namba..?"
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikiangalia namba yake ya simu mara mbili mbili nakuifutilia kabisa..
Nilipomaliza kuifuta nikashangaa napigiwa simu na namba ngeni tena ya airtel, nikaipokea fasta..
"..bila shaka nazungumza na Tina.."
"..yap, ndio mie nani mwenzangu.."
"..mie ni mdogo wake na Jerry naitwa Nyemo, bro kanituma nije nikuchukuwe.."
"..kwani yeye yuko wapi na wewe uko wapi..?"
"..kaelekea kwa shangazi Temeke ila mie nipo hapa chuoni Cbe nje kabisa.."
Furaha ilinijia upya kabisa na sikutaka hata kupoteza muda, nikaichukua nguo yangu ile ile nakuivaa, nikachukuwa na mkoba wangu nikauwekea kanga na vipodozi nikatoka nakujifanya kama naenda darasani kujisomea kumbe naelekea nje kabisa, nilipotoka nikampigia simu huyo mdogo wake..
"..enhe, upo upande gani..?"
"..nipo upande wa huku karibu na chuo cha DIT nipo kwenye gari toyota Noah nyeusi namba T612 ATB.."
Kama nilivyoelekezwa wala sikukosea, ndani ya dakika chache nilikuwa nje ya hiyo gari ya Noah, alikuwa amekwishaniona hivyo akanifungulia mlango..
"..oh, Tina..?"
"..ndio mimi, mambo vipi..?"
Sikuamini kama Jerry atakuwa na mdogo wake mzuri namna hii, tena shombe shombe mweupee..
"...Huyo Jerry anajifanya mtu wa mambo mengi siyo..? Sasa namalizana na mdogo wake tena leo leo.."
Nilijisemea kimoyomoyo huku mawazo yakiwa yamebadilika, pale pale kabla hajaliwasha gari nikaanza kwa kumtega, nilipandisha kisketi changu mpaka nguo ya ndani ikaonekana, Nyemo akanitolea macho mapaja yangu, nikayashika maziwa yangu vizuri mpaka yakapanda juu kama yanataka kutoka.
Muda wote Nyemo alikuwa kazubaa tu..
"..Nyemo endesha gari twende..

No comments:

Post a Comment