GUARDIOLA AENDESHA MJADALA MZITO KUELEKEA MECHI NA LIVERPOOL KESHO - ALEX MWENDATZ

Breaking

Monday, April 9, 2018

GUARDIOLA AENDESHA MJADALA MZITO KUELEKEA MECHI NA LIVERPOOL KESHO


Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola akijadiliana na wasaidizi wake wakati wa mazoezi ya leo jioni kujiandaa na mchezo wa marudiano Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Liverpool Uwanja wa Etihad wakihitaji ushindi wa 4-0 kusonga mbele kufuatia kufungwa 3-0 kwenye mechi ya kwanza Uwanja wa Anfield wiki iliyopita PICHA ZAIDI GONGA HAPA 

No comments:

Post a Comment