Mtibwa sugar imekubali yaishe mbele ya Simba baada ya kufungwa goli moja kwa sifuri. Bao pekee la Simba limefungwa katika dakika ya 23 na mshambuluaji wao wa pekee kutoka nchini Uganda Emmanuel Okwi. Kwa matokeo hayo Simba simba wanafikisha alama 52 nyuma ya Yanga wenye alama 46 na michezo yao 21, wakati Simba wamecheza mechi 22.
Yanga wanatarajiwa kushuka dimbani siku ya ya jumatano kuwavaa Singida united uwanja wa Taifa jijini Dar es saalamu.
No comments:
Post a Comment