Nabii Richard Godwin kazungua alivyo oteshwa na Mungu Kuhusu Maandamano - ALEX MWENDATZ

Breaking

Thursday, March 29, 2018

Nabii Richard Godwin kazungua alivyo oteshwa na Mungu Kuhusu Maandamano


Mtumishi wa Mungu Richard Godwin ambaye ni muanzilishi wa makanisa ya Jehovah Mercy Ministry amezungumza baada ya Ujumbe wake alioupost mitandaoni kuhusu mambo aliyoambiwa na Roho wa Mungu yanayohusu taifa na kile kinachoendelea ambapo amesema Mungu amemuonesha kuwa Taifa litakuwa na Amani na maandamano hayatakuepo.
Mtumishi huyo pia ameongezea kwa kusema watumishi wa Mungu wanapaswa sana kuombea nchi na waache kujiingiza kwenye siasa kwa kupalilia pande moja kwani wao ni viongozi wa kiroho hivyo wanapaswa kwenda mbele za Mungu ili kutoruhusu mengine kutokea ambayo yatamwaga damu za watu na kusababisha laana.
Bonyeza PLAY hapa chini kutazama Video

No comments:

Post a Comment