Hatimaye TP MAZEMBE wamuhitaji Shiza Kichuya, wataka Mazungumzo rasmi na Simba - ALEX MWENDATZ

Breaking

Thursday, March 29, 2018

Hatimaye TP MAZEMBE wamuhitaji Shiza Kichuya, wataka Mazungumzo rasmi na Simba


Hatimaye TP MAZEMBE wamuhitaji Shiza Kichuya, wataka Mazungumzo rasmi na Simba




Kichuya wiki hii alikonga nyoyo za mashabiki wengi wa soka katika mchezo wa kirafiki ,Tanzania dhidi ya Dr Congo kwa kufunga goli moja na kutoa pasi moja ya goli na kuiinua Tanzania kifua mbele kwa magoli mawili kwa bila.

No comments:

Post a Comment