VIDEO: Kilivyo-happen kwenye Open Mic, Fid Q kazungumza haya - ALEX MWENDATZ

Breaking

Thursday, March 29, 2018

VIDEO: Kilivyo-happen kwenye Open Mic, Fid Q kazungumza haya


Usiku wa March 29, 2018 katika fukwe za Escape One ilifanyika show ya Open Mic ambapo wasanii pamoja na baadhi ya watu hukutana kuoneshana uwezo wa iana tofauti ikiwa kuchana, kuimba, Uchekeshaji na hata watu wamashahiri ikiwa show ambayo ni ya msanii Fid Qaliyepatanafasi ya kuzungumza na kuielezea show hiyo.
Bonyeza PLAY kutazama Ilivyokuwa..

No comments:

Post a Comment