
Wachezaji watatu wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, nahodha Himid Mao 'Ninja', washambuliaji Shaaban Idd na Yahya Zayd, waliokuwa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', wamerejea mazoezini leo jioni tayari kabisa kujiwinda na mchezo ujao dhidi ya Mtibwa Sugar.
No comments:
Post a Comment