CHELSEA YATEMBEZA KICHAPO LICHA YA KUTWAA UBINGWA - ALEX MWENDATZ

Breaking

Monday, May 15, 2017

CHELSEA YATEMBEZA KICHAPO LICHA YA KUTWAA UBINGWA

Image result for chelsea
Chelsea usiku wa kuamkia hii leo wameweza kupata ushindi licha ya kutawazwa kuwa mabingwa wapya wa msimu huu wa 2016-2017. Chelsea walikuwa nyumbani wakiwakalibisha vijn wa Watford na kufanikiwa kupata ushindi wa mabao 4-3 hii leo

Mabao ya katika mchezo huo yamefungwa na John Terry, Azpilicueta, Batshuay, na Fabregas, huku Watford wkijipti mbao yao kupitia kwa nyota wake Etienne Capoe, Janmaat, na Okaka Chuka, huku Sebastin Proed akipat kadi nyekundu hii leo. Kwa matokeo hyo Chelse wanafikisha lama 90,

No comments:

Post a Comment