
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi (kushoto) akisalimiana na refa pekee Mtanzania, Frank John Komba aliyeteuliwa kwenye Fainali za Vijana Afrika chini ya umri wa miaka leo Uwanja wa l’Amitie Sino mjini Libreville, Gabon wakati wa mchezo kati ya Serengeti Boys na Mali, ambazo zimegawana pointi baada ya kutoka sare ya 0-0
No comments:
Post a Comment