Na Alexx MwendaTZ
Timu ya taifa ya Angola chini ya miaka 17 imeanza kwa sare hii leo katika mchezo wake wa awli wa mashindano ya AFCON-17 nchini Gabon. Wametoka sare ya 2-2 dhidi ya timu y taifa ya Niger.
Kwa matokeo hayo basi yanfany kundi hilo B kuwa kundi gumu ukizingatia mchezo w awali Tanzania nao walikwenda sare ya kutofungana na mabingwa watetezi timu ya taifa ya Mali sare tasa.
MSIMAMO WA KUNDI B ULIVYO
Team W L D GOALS POINTS
1.Angola 0 0 1 2 1
2.Niger 0 0 1 2 1
3.Mali 0 0 1 0 1
4.Tanzania 0 0 1 0 1
Tanzania wanatarajiwa kutup kark nyingine tarehe 18.5.2017 kuwakaribisha timu y tifa ya Angola, huku Mali wakimenyana n timu y taif ya Niger.
MSIMAMO WA KUNDI A ULIVYO
Team W L D GOALS POINTS
1.Guinea 1 0 0 5-1 3
2.Ghana 1 0 0 4-1 3
3.Cameroon 0 1 0 1 0
4.Gabon 0 1 0 1 0
RATIBA YA AFCON U-17 BAADAY MICHEZO YA AWALI
17.05. 17:00 | Guinea U17 | Cameroon U17 | ||
17.05. 20:00 | Ghana U17 | Gabon U17 | ||
18.05. 17:00 | Tanzania U17 | Angola U17 | ||
18.05. 20:00 | Niger U17 | Mali U17 | ||
20.05. 20:00 | Gabon U17 | Cameroon U17 | ||
20.05. 20:00 | Guinea U17 | Ghana U17 | ||
21.05. 20:00 | Mali U17 | Angola U17 | ||
21.05. 20:00 | Tanzania U17 | Niger U17 |
No comments:
Post a Comment