FAHAMU YALIYOTOKEA KATIKA UFUNGUZI WA MICHUANO YA GABON U-17 - ALEX MWENDATZ

Breaking

Monday, May 15, 2017

FAHAMU YALIYOTOKEA KATIKA UFUNGUZI WA MICHUANO YA GABON U-17

Mpaka sasa jumla ya michezo minne imekwisha kuchezwa na katika michezo hiyo sare tasa ni mchezo mmoja tuu ya Tanzania vs Mali, sare ya mabao ni ya Angol 2 vs Niger 2. Timu zilizoshinda ni mbili Guinea 5 vs Gabon 1, wakati Ghana 4-1 Cameroon.
MAGOLI YA PENALTI

Mpaka sasa jumla y mabao 15 yameshakufungwa katika michezo hiyo ya ufunguzi. Mabao ya penalti ni mawili mchezo kati ya Angola vx Niger ambako kila timu ilipat penalti moja.

MAGOLI YA KAWAIDA NI 13.

WAFUNGAJI BORA 
Ayiar mabao 2-Ghana
Bah               2 -Guinea
Karim            2-Niger
Traore           1-Guinea n wachezaji wengine wote wamefung bao moja moja.

Zawadi nzuri kwako unawez ukajishindia mamiliomi ya fedha kupitia mtandao wa kubet huu wa #bet365 ambao ni mtandao namba moja Afrika unaotoa fedha nzuri zaidi.

No comments:

Post a Comment