Sadio Mane wa Liverpool baada ya kufanyiwa upasuaji - ALEX MWENDATZ

Breaking

Tuesday, April 11, 2017

Sadio Mane wa Liverpool baada ya kufanyiwa upasuaji


Staa wa soka wa kimataifa wa Senegal anayeichezea Liverpool ya England Sadio Mane leo Jumanne ya April 11 2017 amefanyiwa upasuaji wa goti lake la kushoto.

Mane ameonekana mchana wa leo akitoka katika hospital binafsi jijini London kufanyiwa upasuaji wa goti lake la kushoto licha ya kuwa Liverpool walikuwa na matumaini ya staa wa kutofanyiwa upasuaji.

No comments:

Post a Comment