BONDIA WA UINGEREZA AMTAMBIA MRUSI UWANJA WA WEMBLEY - ALEX MWENDATZ

Breaking

Saturday, April 29, 2017

BONDIA WA UINGEREZA AMTAMBIA MRUSI UWANJA WA WEMBLEY

Bondia wa uingereza amtwanga bondia raia wa Urusi, Vladmir Klitishnko usiku wa kuamkia hii leo, uwanja wa wembley, ameweka rekodi y kucheza mapambano 19 bila kupoteza, katika pambano la leo Klitishnko alifanikiwa kumwangusha Joshua mara moja tuu kama ulitazama ilikuwa ni katika raundi ya 6......Ila dogo huyu baada yaushindi alitapika maneno sana daaah

Image result for ANTHONY JOSHUA

No comments:

Post a Comment