Tetesi ambazo zimeanza kuvuma hivi karibuni kutokana na ukaribu wa wawili hao ambao wamekuwa wakionekana wanao siku za hivi karibuni.
Kwakuwa leo ni maadhimisho ya siku ya kuzaliwa ya Billnass, B Dozen hakuona hatari kumvutia waya kupitia kipindi cha XXL cha Clouds FM na kumuuliza kuhusu tetesi hizo.
“Nandy sio mshkaj wangu wa karibu kuhivyo, sana sana we have a project, kuna wimbo wangu ambao ameshiriki na me kuna wimbo wake ambao nimeshiriki. Kwahiyo ni studio session kama mbili tatu lakini hakuna ukaribu wowote.” Alisema Billnass.
Bonyeza play kwenye video hii hapa chini uweze kusikiliza majibizano baina ya Billnass na B Dozen kuhusiana na mchongo huo.
No comments:
Post a Comment