Wimbo huo unatarajiwa kuachiwa Ijumaa hii ya April 14 kwa mujibu wa mtandao wa Instagram wa rapper huyo. “Roughed him up a lil bit on the set of the video. He’ll live @joejonas #KissingStrangers 4/14 @dnce,” ameandika Nicki kwenye mtandao huo.
Minaj anaachia wimbo huo baada ya mwezi uliopita kuachia nyimbo tatu kwa pamoja zikiwemo ‘ No Frauds’ pamoja na ‘Changed It’.
No comments:
Post a Comment