Bayern Munich wapo kwenye mbio za kumsajili Paulinho - ALEX MWENDATZ

Breaking

Tuesday, April 11, 2017

Bayern Munich wapo kwenye mbio za kumsajili Paulinho

Klabu ya Bayern Munich wamefanya mazungumzo na kiungo wa Guangzhou Evergrande, Paulinho kuhusu uhamisho wa majira ya joto kwa mujibu wa RMC.

Mbrazili ambaye amekuwa katika kiwango cha hali ya juu na Carlo Ancelotti anatamani kumpata mchezaji huyo wa zamani wa Tottenham.

No comments:

Post a Comment