MOYES AIPOROMOSHA DARAJA SUNDERLAND, YAPIGWA 1-0 NYUMBANI - ALEX MWENDATZ

Breaking

Saturday, April 29, 2017

MOYES AIPOROMOSHA DARAJA SUNDERLAND, YAPIGWA 1-0 NYUMBANI

Kocha wa Sunderland, David Moyes akiwa haamini macho yake baada ya timu yake kufungwa nyumbani 1-0 na Bournemouth bao pekee la Joshua King dakika ya 88 Uwanja wa Light katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo, hivyo kuteremka daraja rasmi

No comments:

Post a Comment