New
- ....Eden Hazard amekuwa akifanya mazungumzo ya kisiri ili kujiunga na Real Madrid ya Hispania majira ya kiangazi (The Sun Wameandika)

- ........Atletico Madrid wamewaambia Manchester United kuwa bado wanamitaji Griezmann kwa msimu mmoja zaidi kabla ya kuwa tayari kumwachia, huku mbadala wa Griezmann akitajwa kuwa Alexandre Lacazette (Daily Telegraph)
- ............Daily Mirror wameandika kuwa Claudio Ranieri amefukuzwa mara baada ya wachezaji wakubwa wa timu hiyo kulalamika kwenye Uongozi wa juu wa Timu hiyo
- Klabu ya Everton inajaribu kufanya ushawishi wa kumrejesha Wayne Rooney Goodison Park, Rooney alitokea Everton kabla ya kujiunga na United (Daily Mirror)
- Mlinzi wa Arsenal Hector Bellerin amesema atakuwa tayari kurejea Barcelona kama kocha Arsene Wenger ataiacha Arsenal kama kocha (Mundo Deportivo)
- Roberto Mancini ambaye amewahi kuifundisha Manchester City ni jina la kocha linalotajwa zaidi kumrithi Claudio Ranieri ndani ya Leicester City (Daily Telegraph )
- Daily Mail limeweka wazi kuwa Manchester City wanajipanga kumsajili Dani Alves tokea Juventus majira ya kiangazi
- Chelsea ya England wanajaribu kufanya mazungumzo ya kumsaini winga Jonathan Biabiany tokea Inter Milan ya Italia ( Wameandika Daily Telegraph)
No comments:
Post a Comment