Azam 1 - 0 Mtibwa Sugar (Singano)
Kwa matokeo haya Azam Fc wametinga hatua ya robo fainali ya michuano ya ASFC 2017
Madini 1 - 1 JKT Ruvu
Matokeo dakika tisini mechi imeisha sare ya bao moja kwa moja na Madini wamevuka kwa Penati 4 - 2

Might elephant 0 vs ndanda 0
ndanda wameiondosha might elephant kwa mikwaju 4-2 na kusonga mbele katika hatua ya robo fainali.
No comments:
Post a Comment