
Lionel
Messi akipongezwa na mchezaji mwenzake, Neymar baada ya kuifungia
Barcelona mabao yote mawili dakika za nne na dakika ya 90 kwa penalti
katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Leganes kwenye mchezo wa La Liga usiku wa
jana Uwanja wa Camp Nou. Bao la Leganes lilifungwa na Unai Lopez dakika ya 71

No comments:
Post a Comment