MAZOEZI HAYA YA YANGA KWA AJIRI YA KUMUUWA MTANI SI ZANACO ETI - ALEX MWENDATZ

Breaking

Wednesday, February 22, 2017

MAZOEZI HAYA YA YANGA KWA AJIRI YA KUMUUWA MTANI SI ZANACO ETI

Yanga ambao kwasasa wanafanya maandalizi yao kabla ya kumenyana na Simba February 25 katika uwanja wa Taifa, Yanga wapo Kimbiji wakiwa wameweka Kambi Huko.

Sasa KwataUnit.com Tumepata taarifa kutoka chanzo chetu cha habari kuwa Yanga jana wamefanya mazoezi katika jua kali huku kocha wa Yanga akilenga kuwafanya wachezaji kuwa na Pumzi na Kuzoea kucheza katika mazingira ya jua.


Wachezaji wa Yanga walionekana wakifanya mazoezi kwa kujituma pasipo kuchoka, huku wakipewa mbinu mbalimbali na kocha wao  Mzambia George Lwandamina ambaye kwa mara ya Kwanza atakaa benchi kama kocha wa Yanga kwenye mechi ya watani wa Jadi.

No comments:

Post a Comment