New
- Real Madrid wanajipanga kuingia katika ushindani wa kumnasa
Mjerumani Julian Brandit ambaye Liverpool wameonyesha nia ua
kumwitaji,Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp ameonyesha wazi Kumwitaji
mchezaji huyo (Mirror)
- Kufuatia Manchester United kumwitaji Victor Lindelof hali hii
imeandikwa na The Sun la Uingereza kuwa huenda Daley Blind akasepa
Manchester United.
- Deal la Wayne Rooney kutimkia zake China huenda likawa mwishoni
kukamilika mara baada ya baadhi ya timu kuthibitisha kufanya naye
mazungumzo ya mwisho mwisho na huenda hii ikawa wiki ya mwisho kwa
Rooney kama mchezaji wa Manchester United, Timu hasa inayotajwa
kumwitaji Rooney ni Tianjin Quanjian
No comments:
Post a Comment