Mrembo huyo ambaye ni maarufu kwa kupamba video za muziki wa wasanii wa
bongo fleva, amekana tuhuma hizo na kesi yake kuahirishwa hadi Machi 2i
mwaka huu.
Mara baada ya kusomewa mashtaka yake, ameachiwa kwa dhamana ya wadhamini wawili pamoja na kusaini bondi ya shilingi milioni 10.
Pia mrembo huyo ambaye amewahi kukamatwa nchini Afrika Kusini
akihusishwa na usafirishaji wa dawa za kulevya, ametakiwa kutotoka nje
ya Dar es Salaam kwa kipindi chote cha kesi bila kibali cha mahakama.
No comments:
Post a Comment