Na Alex Mwenda
Mwanadada Jokate jana wakati wa All Star Game alipata nafasi ya kupata
walau picha na familia ya Jay Z kama inavyoonekana katika Picha,Jokate
alienda Kwenye mechi hiyo kwa hisani ya NBA Afrika, Na Jokate
alionyesha Furaha yake kwa kuandika maneno haya Instagram
jokatemwegeloSo NBA Africa took me courtside and I haaaaaaad to say hello to the Carters. OMG 😭😭😭😭. @beyonce is
super cute and I can't believe she shook my hand and was like nice to
meet you. 😍😍🤗🤗. I was like wait I need a picture, I came all the way
from Tanzania for this B 😕. She's so sweeeeeet and I'm so lucky lmao.
Thank you @beylite @balleralert for this pic I couldn't snap one as I was shocked and still in disbelief. 😳#Beyonce #Beylite #NBAAfricaGame#NBAAllStar #Kidoti 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
No comments:
Post a Comment