VideoMAGOLI: Tazama goli la Okwi lililoipa point 3 Simba vs Mtibwa - ALEX MWENDATZ

Breaking

Monday, April 9, 2018

VideoMAGOLI: Tazama goli la Okwi lililoipa point 3 Simba vs Mtibwa

Simba SC Jumatatu ya April 9 2018 walishuka katika uwanja Jamhuri Morogorokucheza na wenyeji wao Mtibwa Sugar,  Simba ikiwa ugenini imefanikiwa kuondoka na point tatu katika uwanja wa Jamhuri Morogoro kufuatia kupata ushindi wa goli 1-0 lililofungwa na Emmanuel Okwi dakika ya 23

No comments:

Post a Comment