Usengimana wa Singida united ajisalimisha - ALEX MWENDATZ

Breaking

Monday, April 9, 2018

Usengimana wa Singida united ajisalimisha

Image result for Danny Usengimana
Taarifa kutoka mkoani Singida ni kwamba 
AMEREJEA: Mchezaji wetu Dany Usengimana amerejea kikosini hii leo akiwa ameungana na wenzake jijini DSM tayari kwa mchezo dhidi ya Yanga Jumatano hii.
Dany Usengimana alikuwa nje ya kikosi baada ya kuruhusiwa kwenda kwao(Rwanda) kushughulikia matatizo ya kifamilia.
@danny_usengimana welcome back

No comments:

Post a Comment