#Leo ndiyo tarehe 6 April,lile pambano Kali la ngumi ambalo lilipewa jina la "Usiku wa Vitasa"kufanyika pale uwanja wa Kinesi Jijini Dar es salaam, Kutoka Songea Ruvuma Mwanamasumbwi maarufu Benson Mwakyembe naye ilibidi ashughulike na Dulla Mbabe,
Lakini Bahati mbaya Benny Mwakyembe hatoweza kupigana sababu ameumia mazoezini, hii Imethibitishwa pia na manager wake Benny, bwana Dc........!!"Nukuu kwa Kifupi,Ndiyo bhaana, Benn hatopigana leo sababu ameumia mazoezini kwa hiyo hata mie kama manager sijasafiri nipo Songea..... Baadhi ya maneno ya manager wa Benny bwana DC.
No comments:
Post a Comment