STRAIKA MSUMBUFU DICHA KUTUA YANGA? ISHU KAMILI IKO HIVI - ALEX MWENDATZ

Breaking

Thursday, April 19, 2018

STRAIKA MSUMBUFU DICHA KUTUA YANGA? ISHU KAMILI IKO HIVI

Image result for Djako Arafat
Jana baada ya mchezo dhidi ya Wolaitta Dicha, Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Yanga Hussein Nyika alifanya mazungumzo na mshambuliaji wa Dicha Djako Arafat.
Arafat ndiye aliyefunga bao pekee la Dicha kwenye dakika ya pili.
Mbali ya kuitumikia Dicha aliyojiunga nayo mwaka 2016, mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 29 amewahi kuichezea Anzhi Makhachkala inayoshiriki ligi kuu nchini Urusi.
Pia amewahi kuitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Togo kwa nyakati tofauti.

No comments:

Post a Comment