Post ya Haji Manara baada ya sare ya Yanga na Singida - ALEX MWENDATZ

Breaking

Wednesday, April 11, 2018

Post ya Haji Manara baada ya sare ya Yanga na Singida

Image result for HAJI MANARA
Post ya Haji Manara baada ya sare ya Yanga na Singida Mara tu baada ya Mchezo wa Yanga na Singida United kumalizika kwa sare ya bao 1 kwa 1 magoli yakifungwa na Kambale upande wa Singida na Ninja upande wa Yanga Haji Manara yeye kapost Ujumbe Huu hapa Chini.

 Akisisitiza wanamsimbazi kujaa uwanjani kesho watakapokuwa wakicheza na Mbeya City uwanja wa Taifa. “Wanasimba wa Dar njooni kesho mtusapoti….tusiishie kuwacheka mitulinga mitandaoni pekee..’Road to 30 point’s…. Mwaka wetu Simba yetu..tukutane Taifa kesho.. Habari ndio hiyo#ThisIsSimba#SimbaScNguvuMoja ”

No comments:

Post a Comment