ORODHA YA WACHEZAJI WANAOONGOZA KWA UFUNGAJI VPL MPAKA SASA APRIL 12-2018 - ALEX MWENDATZ

Breaking

Thursday, April 12, 2018

ORODHA YA WACHEZAJI WANAOONGOZA KWA UFUNGAJI VPL MPAKA SASA APRIL 12-2018

Image result for bonaventure kaheza
Listi hii nimekuwekea jumla ya wafungaji 13, kinara akiwa ni Mganda anayechezea Simba Sc,

Emmanuel Anord Okwi akiwa na jumla ya magoli 18.
 1-Emmanuel Okwi (Simba Sc) =18
2-John Bocco (Simba Sc) =13
 3-Obrey Chirwa (Young Africans) =12
 4-Eliud Ambokile (Mbeya City) =10
5-Mohamed Rashid (Tanzania Prisons) =09
 6-Habib Kiyombo (Mbao Fc) =09
7-Marcel Boniventure (Majimaji Fc) =08
8-Asante Kwasi (Simba Sc &Lipuli Fc) =08
9-Shiza Kichuya (Simba Sc) =07
10-Paul Nonga (Mwadui Fc=07
11-Ibrahim Ajibu (Young Africans) =07
12-Khamis Mcha (Ruvu Shooting) =06
13-Pius Buswita (Young Africans) =04

No comments:

Post a Comment