Ligi kuu Tanzania bara kuendelea hapo kesho, Yanga kuwakaribisha Singida United, Majimaji kuvaana na Stend United - ALEX MWENDATZ

Breaking

Tuesday, April 10, 2018

Ligi kuu Tanzania bara kuendelea hapo kesho, Yanga kuwakaribisha Singida United, Majimaji kuvaana na Stend United

Image result for yanga
Mechi za kesho
Yanga vs Singida united

Stend united vs Majimaji

Mbao fc vs Njombe mji

Alhamisi Simba kuwakaribisha Mbeya City ya mkoani mbeya, wakati Azam fc wakikaribisha na Ruvu shooting

No comments:

Post a Comment