WilkinsKiungo wa zamani wa timu ya taifa ya Uingereza, Manchester United na Chelsea Ray Wilkins amefariki akiwa na umri wa miaka 61.
Wilkins ambaye alicheza mechi 84 za timu ya taifa , wiki iliyopita alipata mshtuko wa moyo na leo asubuhi ameaga Dunia akiwa Hospitalini.
Akizaliwa Septemba 14, 1956 pale Hillingdon, Wilkins alifanikiwa kuiwakilisha Uingereza katika mashindano mawili ya fainali za kombe la Dunia na pia amewahi kukipiga katika vilabu vya AC Milan, Paris Saint
No comments:
Post a Comment