
Mh Balozi wa Tanzania nchini Algeria Ndugu Omar Yusuf Mzee akimpokea Nahodha wa Timu ya Taifa Taifa Stars Mbwana Samatta alipowasili jioni ya leo Uwanja wa Ndege wa Algiers tayari kwa mchezo wa kirafiki wa kimataifa Algeria vs Tanzania utakaochezwa Machi 22,2018

No comments:
Post a Comment