Salah mungu wa ajabu Liverpool wengi wamtolea mapovu - ALEX MWENDATZ

Breaking

Monday, March 19, 2018

Salah mungu wa ajabu Liverpool wengi wamtolea mapovu

Image result for salah
Nahodha wa Liverpool Jordan Henderson amegoma kuwalinganisha MO Salah na shujaa wa zamani wa Anfield Luis Suarez.

" Wote ni wachezaji wazuri sana kwa haki zao stahiki na huwezi kuwalinganisha."
Image result for suarez

" Ni wachezaji tofauti. Najua kwamba wote wanafunga sana magoli na wanajituma sana pindi wakiwa hawana mpira lakini ni ngumu kuwalinganisha ."

" Luis alihamia Barcelona na anafanya vizuri sana . Ni mchezaji wa daraja la juu sana na najisikia fahari kuwahi kucheza nae."

" Lakini MO msimu huu amekuwa wa ajabu sana. Wa ajabu kweli kweli . Anafanya kila wiki bila kushindwa." 


Image result for suarezImage result for suarez

No comments:

Post a Comment