Mwanandinga Henry enzi za ubora wake katika ulimwengu huu wa soka - ALEX MWENDATZ

Breaking

Monday, March 19, 2018

Mwanandinga Henry enzi za ubora wake katika ulimwengu huu wa soka

Image result for thierry henry


Na Alex Mwenda
Leo shujaa wetu tunamwangazia staa wa kimataifa wa Ufaransa aliepata kuwika sana katika historia ya soka duniani, ladies and gentlemen tunamleta kwenu Thierry Henry……

Thierry Daniel Henry alizaliwa tarehe 17.8.1977
Ni mchezaji mstaafu wa timu ya taifa ya Ufaransa aliepata kucheza kama mchambulaji na hivi sasa ni kovha msaisizi wa taifa la Ubelgiji.

Amepata kucheza katika vilabu vikuba kama Monaco, Juventus, Barcelona, New York Red Bulls, na alitumia miaka 8 katika klabu ya Arsenal ambae ni mfungaji wa muda wote katika klabu hiyo ya washika bunduki.

Henry alianza maisha yake ya maisha ya soka la kulipwa katika klabu ya Monaco 1994 kiwango kizuri kilimfanya aitwe katika kikosi cha timu ya taifa ya Ufaransa 1998, baada ya hapo alisain I mkataba kuitumikia Juventus baada ya mwaka mmoja alijiunga na ligi kuu nchini England katika klabu ya Arsenal chini ya kocha Arsene Wenger na kutengeneza jina kubwa na kuwa world class player na kuwa mfungaji bora wa muda wote Arsenal akifunga magoli 228 katika mashindano yote.

Alipata kushinda mataji mawili ya ligi kuu england na mataji matatu ya FA kwa vilabu kwa miaka ya 2003 na 2004. Herny alichaguliwa kuwa mchezaji bora wa FIFA world player of the year, na aliorodheshwa katika tuzo za mchezaji bora wa kigeni England PFA Players' Player of the Year , FWA Footballer of the Year



Katika mwezi june 2017 baada ya kudumu kwa washika bunduki wa Arsenal alihamia kwa miamba wa Barcelona kwa ada ya uhamisho wa uro 24 milioni. Mwaka 2009 aliweka rekodi ya kutwaa La Liga, Copa del Rey na  UEFA Champions League.
Aidha alipata mafanikio mengine baada ya kushinda  Supercopa de España, UEFA Super Cup na FIFA Club World Cup.
Kwa ujumla Henry aliorodheshwa katika kikosi bora cha Uefa kwa miaka mitano mfururizo.   Mwaka 2010 alijiunga na klabu ya New York Red Bulls ambayo inashiriki ligi kuu ya Marekani Major League Soccer,  na  aliweza kushinda ubingwa wa Eastern Conference  na kuwa mchezaji bora katika mwaka huo wa 2010.
Mwaka 2012-2013 alirejea tena Arsenal kwa mkopo wa miezi miwili na baada ya hapo alirejea tena Marekani katika klabu yake ya New York Red Bulls na alishinda MLS Supporters' Shield.

Henry alifurahia mafanikio ya timu ya taifa ya Ufaransa baada ya kushinda kombe la dunia 1998, uefa euro 2000, na kombe la mabara 2003. Mwaka 2007 aliwashangaza wengi baada ya kuvunja rekodi ya aliekuwa staa wa timu hiyo Michelle Platin kwa kuwa mfungaji bora wa muda wote wa timu ya taifa baada ya kucheza michezo 123 na kufunga magoli 51.
Henry alistaafu rasmi baada ya mashindano ya kombe la dunia mwaka 2010 Afrika ya kusini. Henry alikuwa moja kati ya wachezaji ambao walifanya biashara kubwa sana kupitia soka na aliorodheshwa kuwa wa tisa mnamo mwaka 2006.
Mwaka 2016 mwezi wa nane aliteuliwa kuwa kocha msaidizi wa timu ya taifa ya Ubelgiji kusaidia na kocha mkuu  Roberto Martínez pamoja na Graeme Jones.


Henry anatoka katika koo ya Antillean na baba yake ni   Antoine, ambae anatokea katika kisiwa cha Guadeloupe  na mama yake ni Maryse, amabye ni mwenyeji wa Martinique
Alizaliwa na kukulia  katika mji wa  Les Ulis amabao unapatikana katika mji wa Paris , Alipokuwa na miaka 7  Henry alionesha kiwango cha kuvutia sana kilichomfanya wakala Claude Chezelle kumjumuisha katika timu ya mtaani ya  CO Les Ulis.
Baba yake alimsisitiza sana kufanya mazoezi kwa bidii tangu akiwa bado mdogo, na alijiunga katika klabu ya US Palaiseau katika mwaka 1989, baada ya mwaka baba yake alifungashiwa virago na Henry aliondoka na kujiunga na ES Viry-Châtillon na kucheza kwa miaka miwili  mpaka alipopata kuonekana na kujiunga na  US Palaiseau ambapo kocha wa timu hiyo  Jean-Marie Panza kum[a nafasi zaidi, hapo ndoto zake zilianza kutimia.
Ametunukiwa tuzo mbalimbali wakati akiwa na vilabu tofauti
Monaco
·         Division 11996–97
·         Trophée des Champions1997
Arsenal

Henry ameshinda makombe mawili ya  Premier League katika klabu ya  Arsenal.
·         Premier League (2): 2001–022003–04
·         FA Cup[a] (2): 2001–022002–03
·         FA Community Shield (2): 20022004

Barcelona
·         La Liga (2): 2008–092009–10
·         Copa del Rey2008–09
·         Supercopa de España2009
·         UEFA Champions League2008–09
·         UEFA Super Cup2009
·         FIFA Club World Cup2009

New York Red Bulls
·         Supporters' Shield2013
·          
Katika timu ya taifa Henry ameshinda
·         Kombe la dunia mwaka  1998
Yaliyofanyika nchini Germany 2006
·         FIFA Confederations Cup
WinnerFrance 2003

Tuzo binafsi
·         Ballon d'Or – mwaka: 2003;
·         Na alishika nafasu ta 3 2006[159]
·          
·         Mchezaji bora wa dunia –20032004[160]
·          
·         UNFP mchezaji bora chipukizi1996–97
·         PFA mchezaji bora wa kulipwa 2002–032003–04
·         PFA aliorodhesha katika kikosi bora cha karne (1907–2007):
·         Premier League top assist provider: 2002–03[163]
·         BBC Goal of the Season2002–03
·         Copa del Rey top goalscorer: 2007–08[164]
·         UEFA Team of the Year20012002200320042006
·         MLS Best XI201120122014
·         Hizo ni baadhi ya tuzo amechukua zaidi ya tuzo 55.

No comments:

Post a Comment