MOHAMMED SALAH VS DE BRUYNE NANI KUMPIGA BAO MWENZAKE? - ALEX MWENDATZ

Breaking

Tuesday, March 27, 2018

MOHAMMED SALAH VS DE BRUYNE NANI KUMPIGA BAO MWENZAKE?

Image result for MOHAMED SALAH
Zikiwa zimebaki mechi chache ligi kuu ya soka ya Uingereza kufikia tamati, tumeshuhudia wachezaji kadhaa wakionyesha kiwango cha hali ya juu sana.

Baadhi wameonyesha kwa muda mfupi na wengine kwa kipindi kirefu ndani ya msimu.

Lakini kuna wachezaji wawili kutoka vilabu vya Manchester City na Liverpool hao ndio kwa macho ya mashabiki wengi ndio wameonyesha kiwango kizuri tangu msimu kuanza mwezi Agosti mpaka sasa .

--- Kevin De Bruyne  wa Manchester City

--- Mohamed Salah wa Liverpool

Kura yako wewe unampa nani kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa Mwaka wa Ligi kuu ya Soka ya Uingereza ?

No comments:

Post a Comment