BIBI HARUSI AGOMEA HARUSI KISA KAZI YA MUMEWE - ALEX MWENDATZ

Breaking

Thursday, March 29, 2018

BIBI HARUSI AGOMEA HARUSI KISA KAZI YA MUMEWE



BIBI HARUSI akimbia nje ya kanisa wakati wa kufunga ndoa baada ya kugundua kuwa Mchumba wake alimdanganya kuwa anafanya kazi ya #UHASIBU katika shirika la mafuta la TAZAMA. 
Image may contain: one or more people, people standing, people dancing, wedding and outdoor
Swali je alikuwa anaolewa na shirika la mafuta au mwanaume?
Image may contain: 1 person, standing, wedding and outdoor

No comments:

Post a Comment