MATOKEO ; Azam Fc vs Transit Camp leo1.9.2017 - ALEX MWENDATZ

Breaking

Friday, September 1, 2017

MATOKEO ; Azam Fc vs Transit Camp leo1.9.2017

Chamazi,Dar Es Salaam
Klabu ya Azam Fc leo ikicheza katika uwanja wake wa Azam Complex Imefanikiwa Kuinyuka klabu ya Transit Camp bao 8 kwa 1 Katika mchezo wa Kirafiki.
Katika MCHEZO huo  ndugu msomaji wa Kwataunit Blog Magoli ya Azam Fc yamefungwa na  Yahya Mohammed dakika ya 22, Kangwa 45,  Enock Atta dakika ya 50, Salmin Hozza dakika ya 59. naye Mbaraka Yusuph akaweka bao la 5 dakika ya 67.

Mahundi katika dakika ya 72 akafunga bao la 6, Atta akarudi kambani kwa goli la 7 na 8.Azam inajiweka sawa kwaajili ya Ligi Kuu VPL wakati timu ya Transit Camp inajiandaa dhidi ya Ligi daraja la kwanza Tanzania Bara.  

No comments:

Post a Comment