MANCHESTER UNITED WAPIGWA BAO NA NDUGU ZAO MANCHESTER CITY - ALEX MWENDATZ

Breaking

Monday, May 29, 2017

MANCHESTER UNITED WAPIGWA BAO NA NDUGU ZAO MANCHESTER CITY

  • Manchester City wanaimani watawakalisha majirani zao Man United katika Ushindani wa kumsaini Benjamin Mendy wa Monaco, City tayari washaanza cheche baada ya kumsaini Bernado Silva (Daily Express)
  • West Ham wako mbioni kumsaini Kipa wa Sunderland Jordan Pickford kwa ada ya uhamisho ya pauni milioni 25 (The Sun)

  • West Ham pia wako njiani kumsaini Kelechi Iheanacho wa Man City (Daily Mirror)

  • Manchester United ndiyo wameonekana kweli wako tayari kumnasa Mkoratia Ivan Perisic kwa ada ya uhamisho ya pauni milioni 36 (The Sun)

  • Baada ya Chelsea kumsikia Diego Costa hana mpango wa kwenda China basi wamejipanga kwaajili ya kufanya naye mazungumzo ili kumbakiza mchezaji huyo (Daily Telegraph)

No comments:

Post a Comment