Beki Pablo Zabaleta akiwa amerushwa juu na wachezaji wenzake baada ya kuichezea Manchester City mechi ya mwisho Uwanja wa Etihad usiku wa Jumanne akihitimisha miaka yake tisa ya mafanikio kwa ushindi wa 3-1 dhidi ya West Bromwich Albion. Mabao ya Man City yamefungwa na Gabriel Jesus dakika ya 27, Kevin De Bruyne dakika ya 29 na Yaya Toure dakika ya 57, wakati la WBA limefungwa na Hal Robson-Kanu

No comments:
Post a Comment