Amos Mwakula kupimana uwezo na Mmalawi - ALEX MWENDATZ

Breaking

Tuesday, May 16, 2017

Amos Mwakula kupimana uwezo na Mmalawi

Bondia Amos Mwamakula a.k.a Super Kyela wa hapa Tanzania anatarajia kupanda uringoni kukipiga na Mmalawi kuwania kanda wa UBO Intanational.
Mwakula anatarajiwa kupanda ulingoni ifikapo mwezi wa nane tarehe 8 mwaka huu kupambana na bondia Odson Kayuniwe kutoka nchini Malawi.
Pambano la Mwakula na Kayuniwa linatarajiwa kufanyia Dar es salaam katiaka eneo ya Travel Magomeni.
Amos Mwakula:
Kacheza mapambano 25
Kashinda mapambano 15
Kapoteza mapambano 8
Odson Kayuniwa:
Kacheza mapambano 23
Kapoteza mapambano 7
Katoka suluu 2

No comments:

Post a Comment