
Simba imelazimishwa sare hii leo katika uwanja wa taifa jijini Dar es salaam baaada ya kutoka kwa kufungana mabao 2-2. Kwa matokeo hayo Simba wanafikisha alama 55, nyuma ya watani wao Yanga wenye alama 52, wakiwa na kiporo cha mchezo mmoja ambao wataucheza siku ya kesho.
No comments:
Post a Comment