Baada ya hii leo kutoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1 dhidi ya kikosi cha mwalimu Eddie Howe, fc bournamouth. Marcus Rojo alitangulia kuifungia united bao la kuongoza dakika ya 23, kabla ya Joshua King kutibua mipango katika dakika ya 40. dAKIKA YA 72 UNITED WALIPATA PENATI AMBAYO Ibrahimovic alikosa.
Saturday, March 4, 2017
New
PENALTI YA IBRAHIMOVIC YAINYIMA USHINDI UNITED HII LEO
About SPORTS ROOM
SoraTemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of SoraTemplates is to provide the best quality blogger templates.
MICHEZO
Labels:
MICHEZO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment