ZIMAMOTO YAFANYA KWELI LIGI YA MABINGWA AFRIKA - ALEX MWENDATZ

Breaking

Sunday, February 12, 2017

ZIMAMOTO YAFANYA KWELI LIGI YA MABINGWA AFRIKA

Na Alex Mwenda
Timu ya Zimamoto ya zanzibar imeanza vyema hatua ya awali ya michuano ya ligi ya mabingwa Afrika , baada ya jana usiku kushinda mabao 2-1 dhidi ya Feroviallo ya msumbiji. Zimamoto inahitaji sare tuu katika mchezo wa marudiano wiki ijayo ichin msumbiji ili iweze kusonga mbele katika hatua ya kwanza.
Image result for zimamoto fc

No comments:

Post a Comment