New
- Kocha wa Arsenal Mfaransa Arsene Wenger amekataa dili la huko China la pauni milioni 30 kwa mwaka pesa ambayo ni mara mbili ya pesa anayolipwa Pepe Guardiola kwasasa, na amesisitiza bado anataka kufanya kazi Ndani ya bara la Ulaya (Daily Mirror)
- Arsenal wanatajwa kuwawania wachezaji wawili wa Napoli Lorenzo Insigne na Faouzi Ghoulam timu hiyo inayotokea London ya kaskazini Arsenal wameshatuma mascout huko Italia. (The Sun)

- Arsenal na Chelsea katika battle ya kumnasa Kinda wa ki-Nigeria mwenye miaka 19 Henry Onyekuru anayecheza huko Ubelgiji (Daily Mail)
- Antonio Conte anataka kutumia hali ya kutokuwa sawa Leonardo Bonucci katika timu ya Juventus ili kumsajili majira ya Kiangazi (The Sun)
No comments:
Post a Comment