Masau Bwire amesema Yanga wameshakufa wanachoenda kukifanya wao ni kufanya kazi ya Kijamii, wanaenda kuzika, Masau Bwire amesema kuelekea pambano hilo wachezaji wako vizuri sana wana Ari na Morali kubwa.
Msemaji wa Ruvu Shooting mwenye maneno mengi sana kabla na baada ya mechi ametamba kuwa Yanga lazima wakae mechi ya Jumatano 1.3.2017.

Masau Bwire amesema Yanga wameshakufa wanachoenda kukifanya wao ni kufanya kazi ya Kijamii, wanaenda kuzika, Masau Bwire amesema kuelekea pambano hilo wachezaji wako vizuri sana wana Ari na Morali kubwa.
Masau Bwire amesema Yanga wameshakufa wanachoenda kukifanya wao ni kufanya kazi ya Kijamii, wanaenda kuzika, Masau Bwire amesema kuelekea pambano hilo wachezaji wako vizuri sana wana Ari na Morali kubwa.

No comments:
Post a Comment