Nusu Final: Kikosi cha Mtibwa Sugar dhidi ya Stand United - ALEX MWENDATZ

Breaking

Friday, April 20, 2018

Nusu Final: Kikosi cha Mtibwa Sugar dhidi ya Stand United


Wafalme wa soka kutoka mji kasoro bahari Mtibwa Sugar Sports Club leo wanashuka dimbani leo kuwakabili Stand United katika mchezo wa nusu fainali ya kombe la shirikisho (Azam Sports Federations Cup).
Mchezo huo wa nusu fainali ya kombe la shirikisho (Azam Sports Federation Cup) utachezwa katika dimba la Kambarage mkoani Shinyanga  majira ya saa 10:00 jioni.
Benchi la ufundi la Mtibwa Sugar chini ya Zuber Katwila “Puchettino” tayari limetoa kikosi cha wachezaji watakao wakabili Stand United katika mchezo huo wa nusu fainali.
Kikosi cha Mtibwa Sugar Sc leo:
Benedictor Tinocco, Kasiani Ponera, Hassan Mganga, Dickson Daud, Hassan Isihaka, Shaban Mussa Nditi, Salum Kihimbwa, Henry Joseph Shindika, Kelvin Kongwe Sabato, Hassan Dilunga, Ismail Aidan Mhesa
wachezaji wa akiba: 
Shaban Hassan Kado, Rodgers Gabriel Freddy, Ayoub Semtawa, Saleh Khamis Abdallah, Stamil Mbonde, Hussein Javu, Haruna Chanongo

No comments:

Post a Comment