NJOMBE WAAHIDI KUPIGANIA POINTI TATU DHIDI YA SIMBA - ALEX MWENDATZ

Breaking

Monday, April 2, 2018

NJOMBE WAAHIDI KUPIGANIA POINTI TATU DHIDI YA SIMBA


Kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Simba, Uongozi wa Njombe Mji umesema timu yao ipo tayari kwa mapambano.

Katibu Mkuu wa timu hiyo, Obed Mwakasungura, amesema wameshajiandaa kikamilifu kwa ajili ya kuikabili Simba.

Aidha, Mwakasungura amewaomba mashabiki wa Njombe Mji FC kujitokeza kwa wingi kesho ili kuipa hamasa timu yao.

Mwakasungura anaimani watapambana ili kupata ushindi kesho japo amekiri kuwa mchezo utakuwa mgumu kwa kuwa kila timu imejipanga.

No comments:

Post a Comment