
Hivi karibuni klabu ya TP Mazembe walionesha na bado wapo jkatika mazungumzo na kinda huyu wa Simba ili atue kwa miamba hiyo ya Afrika. Doa limeingia tatizo la elimu kwa mchezaji huyu huenda likawa ni tatizo kama ambavyo waweza kusoma katika post yake akimwish Mkude siku ya kuzaliwa soma kwa umakini utagundua.

No comments:
Post a Comment